Balozi wa Kenya nchini, Mutinda Mutiso (kushoto) akimkaribisha Mbunge Mteule wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo alipokwenda kumtembelea.
Balozi wa Kenya nchini, Mutinda Mutiso (kushoto) akifafanua jambo wakati alipotembelewa na Mbunge Mteule wa Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Nampenda huyu Mdada hivi ana elimu gani? Political science? nataka kujua tu,.
ReplyDeleteDada yangu shy rose kweli hukukataa tamaa mpaka MUngu amekufanikisha kupata nafasi hii nimefurahi sana na nimejifunza sana kwako kwamba hatupaswi kukata tamaa. Nimekufaham u toka tunasoma shule ya selondari ya lake mwanza. Big up my sister. Jill mwanza
ReplyDeletePose za kidipromatic,
ReplyDeleteSafi Sana! Hongera Da Shy-Rose!
ReplyDeleteWewe
ReplyDeleteMon May 07, 06:03:00 PM 2012
Sio "kidipromatic" ni Diplomatic.
Ukiangalia body "Language" inaonekana mhe. Shy-Rose anamwogopa huyu balozi au hawezi tia neno. Funguka dada Shy-Rose anza kupata experience ya mambo haya. Good Luck!
CCM juu! Juu Zaidi.
ReplyDeletemh, mara hii? Au walikuwa wanafahamiana kabla...
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza huyu dada ana degree kutoka kwa Bibi wa Ukerewe mkuu usifikiri ni maimuna.
ReplyDelete