Meneja Mkuu wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo,Diego Gutierrez akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga pichani kulia,mara baada ya kuvitembelea vitengo mbalimbali na kujionea mambo lukuki yanayofanywa na kampuni hiyo,Pichani shoto ni Ofisa Mahusiano wa Tigo, Alice Maro.
Meneja Mkuu wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo akifanya mahojiano mafupi na mtangazaji wa Choice FM,aitwaye Thandi Kathembe mapema leo jioni.Picha zaidi Bofya Hapa.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...