Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Mathias Chikawe (katikati) akipokea taarifa ya makabidhiano leo kutoka kwa aliyekuwa Waziri katika Wizara hiyo,Mh. Celina Kombani (kulia) aliyehamishiwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Angela Kairuki.
Home
Unlabelled
Mh. Kombani akabidhi Ofisi kwa Mh. Chikawe leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sasa Jembe limerudi mahali pake...Tunaamini Mhe Chikawe atahakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa.
ReplyDelete