Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akiwasisitizaa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuwa vurugu zilizotokea Visiwani Zanzibar hazikuathiri utalii visiwani humo. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Bw. Ibrahim Mussa.
Kufuatia vitendo vya vurugu zilizozuka hivi karibuni katika maeneo kadhaa ya Mji wa Zanzibar baada ya mitandao ya kimataifa ikiripoti taarifa za kuwepo kwa hali ya wasiwasi kwa watalii wanaotaka kuja kutembelea Visiwa hivyo.
Kama Waziri mwenye dhamana ya masuala ya Utalii, ningependa kuwahakikishia wageni, ambao tayari wako nchini, na wale ambao wanajiandaa kuja, kuwa vurugu hizo ambazo zimeshadhibitiwa na Serikali hazikuathiri utalii. Mjini Zanzibar pamoja na maeneo ya vivutio vya utalii kote nchini.
Hadi hivi leo napotoa taarifa hii, amani imetawala Mji Mkongwe Zanzibar na hakuna taarifa yoyote ya uharibifu wa maeneo ya vivutio vya utalii vya Zanzibar wala kuchomwa kwa hoteli ama kudhulika kwa raia yeyote wa kigeni. Hivyo nasisitiza kuwa Zanzibar nisehemu salama kwa watalii.
Vilevile, Siku chache kabla ya tukio la Zanzibar, kulikuwa na matukio manne ya watalii kuporwa katika maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam. Uporaji huo ulitendwa na watu waliokuwa kwenye magari au pikipiki ambao waliwapora watembea kwa miguu.
Serikali inawahakikishia wananchi na jumuiya ya kimataifa kuwa hayo yalikuwa matukio ya pekee na ya kimataifa kuwa hayo yalikuwa matukio ya pekee na ya kupita na hatua zimechukuliwa na Jeshi la Polisi kuongoza usalam kwa wakazi na watalii.
Nachukua fursa hii kuwahakikishia wageni kwamba kila juhudi zimechukuliwa kuhakikisha kuwa usalama wa watalii unadumishwa pamoja na faraja wakati watakapotembelea Tanzania.
Daima tukumbuke kuwa, Tanzania ni kisiwa cha amani na nchi imenuia kudumisha sifa hiyo nzuri.
Karibu Tanzania.
Mhe. Lazaro Nyalandu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
30 Mei, 2012


dah hii inaonesha tanganyika wanaingiza pesa nyingi sana kutoka visiwani mpaka naibu waziri wa tanganyika anatoa maelezo iko siku yatakwisha
ReplyDeleteEti kumbe umuhimu wa Zanzibar kwenu ni sehemu ya kitega uchumi cha Tanganyika tu kwa utalii na mafuta! Ahsanteni kwa kutujuulisha hayo.
ReplyDeleteMnajitia hamnazo kuwa ile nchi ina wenyewe nao wanataka wajiamulie mambo yao wenyewe.
Mkae mkijua kuwa Zanzibar ni nchi yenye wenyewe ambao wana vipa umbele vyao kwanza, na kwa sasa ni Free Zanzibar from the foreign occupation, Tanganyika, disguised as Tanzania.
Ieleweke kuwa Zanzibar sio visiwa vya kuleta watalii wenu ili m
tunataka nchi yetu hatutaki muungano mbona hamuelewi mnalazimisha kupata mapato kupitia zanzibar yetu??????
ReplyDeleteWe fala wa kwanza juu,
ReplyDeleteHio hela tunayokusanya ktk Utalii huko Zenji ni ndogo sana kuliko gharama kubwa mnayotubebesha kuwahudumia ktk Muungano.
Sisi Bara tuna mali zaidi kuliko ninyi, hata walanguzi wenu (Wapemba) wengi wamejaa ktk Masoko yetu Bara kama mnajitoshjeleza kwa kila kitu Wapemba wanafanya nini ktk Masoko ya Bara?
Kwanza hata sisi Utalii tunao zaidi yenu, tuna Mbuga za Wanyama kibao,bahari hata sisi tunayo tena kwa kilomita sisi yetu ni kubwa zaidi yenu.
Tatizo Wazenji wengi ni vilaza (hamnazo) Soma UNESCO report of heritage uone.
Viongozi wa SERIKALI YA MAPINDUZI NA WAZANZIBARI WACHACHE WENYE ELIMU NA UELEWA NAWAKUBALI SANA KWA VILE WANAJUA SIRI KUBWA YA MUUNGANO, NDIO MAANA KAMA UNADAI KUVUNJA MUUNGANO KWA NINI MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ASIUVUNJE SASA WAKATI YUPO NDANI YA SERIKALI?
Kazi ubishi bila uelewa na Elimu!!!
Wazanzibari ni watu wasio na shukurani kabisa wanaishi hapa kwa amani na wanapata faida kubwa kibiashara lakini wanatuumiza sisi wakristo tunaoishi huko Zanzibar!.
ReplyDeleteNaibu waziri wa Utalii Mhs Nyalandu anatoa taarifa kuhusu Utalii Zanzibar. Waziri wa Utalii Zanzbar Upo au umelala?
ReplyDeleteZanzibar kuna pesa gani? Tunaweza kuwapeleka watalii hata Mafia kama wanataka kutembelea kisiwa suala ni kuweka infrastructure nzuri kama mahotel ,usafiri, booking na viwanja vya ndege .
ReplyDeleteZanzibar msijione kama mko kwenye sehemu special sana kwa ajili ya utalii kuna nchi za ulaya hazina beach lakini zinzpata watalii mpaka million arobaini kwa mwaka. Tatizo lenu kubwa baadhi ya Wazanzibar ni kutokuwa na upeo mzuri wa elimu bado mnafikiria kizamani kujitenga hakutawasaidia zaidi ya kuwapunguzia kipato maana watalii wote watakuwa wanaishia bara.
Watalii wengi dunia wanapenda kununua package ambayo ina product mbalimbali kwamfano akiuziwa na kampani ya bara anawekewa Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro, Manyara na Zanzibar vyote hivyo kwa price mmoja ya kuweza kutalii kwa siku nane sehemu zote nilizozitaja.Kwahiyo anaweza kuuziwa vingine kama mkijitenga ambayo pesa yote itaenda bara kama hivi mfano Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro, Manyara, Serengeti na Mafia. Wazungu huku Ulaya wanategemea na maelezo ya kampuni inayowauzia kwahiyo angalie sana nyie wazanzibar acheni utoto...
Mdau UK
mushatutukana sana lkn tunakwambieni watanganyika tuwachieni na ulaza wetu mutuwachie nchio yetu hatuutaki muungano
ReplyDeleteWazanzibar (baadhi lakini walio wengi zaidi) wanahitaji elimu. Utalii wa kule ni nini cha zaidi. Wajue mtalii akienda Z,bar lazima kaanzia Bara. sababu sehemu yao ni ndogo wanawaona ni wengi sababu hawana pa kwenda. Huku bara Sehemu ziko nyingi alafu huku pakubwa hawaoneakani kama kwao.
ReplyDeleteHao anayewangopea ni Mwarabu. wakae waelewe hakuna hatakaye wajengea nchi ni wao wenyewe.
namalizia kwa kusema hata mie pia muungano siutaki.
Hakuna jina nalipenda na kulitamani kama TANGANYIKA
Huyo Thu May 31, 08:58:00 AM 2012
ReplyDeleteMna nchi mna Wilaya (Unguja+Pemba) zenu mbili (2) tu?
Mali za Zanzibar ni za visiwani, lakini mali za Bara ni za msituni au kama hazina mwenyewe sio?
ReplyDeleteMnashupalia Utalii kwani Bara Utalii hakuna?
Mbona ninyi Zenji hamna dhahabu lakini ktk maduka yenu ya Masonara zimejaa?
Mnafikiri hatujui ukwepaji wa Kodi na Magendo mnayofanya kwa njia za panya kupitisha dhahabu kutoka Migodi ya Bara hadi kwenu?
sasa wewe wa nyisho unapenda jina tanganyika mtu akifa kwani anarudi tena tanganyika imekufa na kaburi limetiwa lami na nyerere sasa hata ukitamani jina hilo hakuna tena labda mutafute jina lengine ila zanzibar ipo na itaendelea kuwepo milele mungu ibariki jamuhuri ya watu wa zanzibar ameen
ReplyDeletemlio toa maoni yenu either hamnazo au labda zimeharibika kwa kukukimbia mwenge au kwa kudumisha vikara za baba yenu wa kanisa(nyerere) au bado totoz ndogo ndogo hata historia hamfahamu na mnayoifahamu ni kwamba mliodanganywa nyinyi WADANGANYIKA
ReplyDeleteNever urgue with a fool if you do you will be like them
kaine hivyo hivyo mseme eti hatuna lolote zanzibar tunakutegemeni nyinyi
sasa tatizo liko wapi kama tunakutegemeni nyinyi TUPENI NCHI YETU MBONA MNAINGANGANIA KAMA NI MZIGO KWENU
Unadhani tumelala au tumesinziza siyo we have already woken up long time kuliko nyinyi
some histori mtajua nyinyi wamrima nani msomi eti zanzibar hakusoma mnawazimu na wapemba wengi wako kwenu masokoni kwa nini husemi mataifa menginewe yapo huko na huku kwetu zanzibar yapo
kwani nchi hii dunia hii ni yenu peke yenu,mbona mpo marekani na ulaya kwani kwenu kule na mnajitangaza hivi sasa kwenu kule tumwambiye obama na queen elizabeth akufukuzeni mrudi kwenu
watu pumba pumba tuu na wewe michuzi unaziweka commmen hizi tunazoziandika za maana unazi delete utajidai tuna leta uchochezi
kumbe tunawaka FACT OF HISTORY
SASA KILICHO BAKI TUNATAKA NCHI YETU PERIOD NA KAMA NI MZIGO UTUWENI TUBEBE WENYEWE MAFISADI WAKUBWA
WADANGANYIKA MTADANGANWA DAIMA LAKINI SISI WAZANZIBAR KATU ABADAN HATUDANGANYWI TENA UPO KAMA MNAUTALI WENU BASI KWA NINI MSIJIENDELEZE HUKO MNAPATA FAIDA SANA NA HUKU NA MNATULETEA SASA UFISADI HALAFU TUKUNYAMAZIYENI KIMYA MNAWAZIMU
TUMESHAAMKA NA WALA HATU SINZI
SOMENI HISTORY MTAJUA NANI HAJAENDA SHULE NANI KALETA UHURU WENU HUKO BARA NA HAPA VISIWANI
MSILETE BLA BLA HAPA
MICHUZI TAFADHALI MUUNGWANA WEKA COMMENT YANGU HII WADANGANYIKA WAELIMIKA KIDOGO
tunataka nchi yetu kama ni mzigo kwenu tupeni nchi yetu na mtutazame umtuone kama tutakufa na nchaa tuachieni ka plot chetu na nyinyi kaeni na nchi yetu
ReplyDeletetunataka kurejesha hadhi yetu na someni history mtajua nani KASOMA NA NANI HAJASOMA na nani alikuwa mstaarabu toka hapo awali na mwenye kujali utu wa mtuu
SOMENI HISTORY SIYO HII MLIYOPOTOSHEWE, FUTENI UJINGA BECAUSE NIMEONA WALIOTOA COMMENT ZAO WOTE HAKUNA KITU MAYAI VIZAA
Wazanzibari wapinga Muungano:
ReplyDeleteMmeshajulikana Bosi wenu anayewatuma ni Mwarabu wa Omani aliyepinduliwa mwaka 1964.
Msihangaike bure, hizo Wilaya mbili (2) Unguja na Pemba hamtazipata!
Kigezo ni kuwa ,
1.Wapinga Muungano mna njaa kali halafu ni wachache kuliko Watakao Muungano uendelee ni wengi zaidi.
2.Ushahidi kamili upo, kwa kuwa imeonekana wengi wanaodai Muungano uvunjike wamepigika kimaisha tena mbaya zaidi kwa uzembe wao wenyewe na ubwege wao na Umwinyi kupita kiasi wakishindwa kujituma kutafuta maisha halafu wanailaumu Serikali na Chama!
HIVYO MTAMBUE YA KUWA MUUNGANO HAUWEZI KUVUNJIKA ILI KUWARIDHISHA 'WAJINGA WACHACHE' MAMBO YAWE KAMA WATAKAVYO WAO!
MWARABU WA OMANI:
ReplyDeleteAlikwisha Pinduliwa kwa Mapinduzi maridadi kabisa Alfajiri ya tarehe 12 Januari, 1964 na zaidi ya hapo Mwarabu wa Omani akapata Pigo lingine kwa Muungano uliofanyika tarehe 26 Aprili, 1964 miezi mitatu mbele ya tarehe ya Mapinduzi!!!
Kama Madai ya kuvunja Muungano yangekuwa yapo mikononi mwa ridhaa ya Wananchi (WENGI) wa Zanzibar (BILA MKONO WA MWARABU WA OMANI) muda mrefu mngeshapata !!!, lakini tatizo mnaodai ni (WACHACHE) tena mpo chini ya (MPANGO WA MWARABU WA OMANI)!!!
SASA KWA MAZINGIRA HAYO DUNIA ITATUELEWAJE?
KUWAPOKONYA NCHI WALIO WENGI TUKAWAPA NCHI KUNDI DOGO LILILOPO CHINI YA MABWENYENYE WA KIARABU?
KWELI WANA MAPINDUZI ZANZIBAR TUTAKUWA TUMEWATENDEA HAKI???
THINK TWICE!!!
Mwelezeni Mwarabu wa Omani katafute Visiwa vingine visivyokuwa na watu huko Baharini ili aweke Ukoloni wake huko na wala asiiote tena Zanzibar!
ReplyDeleteHaiwezekani NCHI YA KI AFRIKA YA ZANZIBAR akabidhiwe MKOLONI WA KIARABU AMBAYE ALIKWISHA PINDULIWA MWAKA 1964!!!
Cha zaidi Mngedai kuuvunja Muungano baada ya kuhakikisha hakuna Mpemba hata mmoja huku 'Mrima' kama mnavyokuita kwetu Tanganyika.
ReplyDeleteNinyi mnadai kuvunja Muungano wakati Watu wenu na Biashara zenu zaidi ya 85% zipo Bara!!!
Huo si ndio ubwege wa Yohana Mpumbavu anapanda juu ya mti anakaa ktk tawi halafu anakata upande tawi lilikotokea!!!
Kweli Yohana Mpumbavu huyo wa Kizenji atasalimika juu ya mti hapo?
Here we go again Utabaka kwa binaadamu hautoisha,tujiulize swali moja jee AKHERA tutaulizwa swali la kuwa wewe ni Muafrica,Mwarabu,Kabila Mmakonde na nk.Utabaka tumeuona kwa Wasomali miaka 21 na zaidi wanachinjana.Tuwe waangalifu natunachokiomba.
ReplyDelete