Mjadala mkubwa umeibuka baada ya kuanzishwa leo na Mbunge wa Kigoma Mashariki Mh Zitto Kabwe wenye kichwa cha habari   - BENKI KUU: HAZINA YA TAIFA IMEKAUKA?

Kabla ya jua halijachwa Mwigulu Lameck Nchemba (MB), ambaye ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa, ameibuka na kujibu mapigo kwa waraka wake kwa vyombo vya habari wenye kichwa cha habari - KWA HILI ZITTO ANAPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA.

Globu ya Jamii imepata nakala zote mbili na kuamua kuzianika kwa pamoja katika libeneke dada la Matukio-Michuzi ili ku-balance mambo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    CITY WAMESUBIRI 44 BWAWA NA GONNERS SIJUWI WATASUBIRI MINGAPI WAJE WARAMBE TENA

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    Au pengine bwana Nchemba ulipaswa uongee na bwana Zitto kuhusu haya kisha umshauri aiondoe hoja yake?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2012

    Mwigulu Nchemba ni wale wale...! kuna taaasisi nyingi sana ambazo hawatilii maanani kuweka taarifa kwa wakati kwa UMMA kupitia...!

    Ukifanya quick survey utaamini hilo...! Na kuweka msisitizo, Mh Zitto umefanya vyema kubainisha hilo ili taasisi na watendaji wakw wawajibike..!

    Kwa nini BOT wasiweke 'Draft Reports' ? wakati wanasubiri kamati zikae kupitisha reports hizo...?

    Hapana...! Mwigulu hapa unajaribu kupotosha UMMA kwa hili...! Hayo ni MAPUNGUFU na siyo kitu ya kutetewa na mwanataaluma kama wewe, UKIONDOA USHABIKI. ..!



    Mdau
    xoxo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2012

    Mwigulu umechemka..hata sisi raia wema tusio na uwezo wa kuongea na Gavana tunahitaji kusoma taarifa hizi..Siyo huyo Zitto unayem-ongelea.Lazima ziende na wakati.FULL STOP

    David V

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2012

    Lol, Mr.Mwigulu Nchemba,
    so for a simple layman like myself if we want information about BOT and our country's finance we should contact you???? It's plain laziness that has engulfed most of our institutions and that now slowly by slowly people are starting to scrutinize these shortcomings and people like yourself who are still living in the era were those in position can not be question are feeling the heat now!
    Get your department in order and start serving the people who voted for you and who entrusted you with their livelihood! Update the website and stop using excuses for incompetence!

    The people have spoken!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2012

    Mimi najiuliza kuwa hivi tungekuwa na wabunge wasomi wa kutosha kama Mheshimiwa Zitto na siyo hilo tu...walio na akili za kufanya utafiti wa vitu kama hivi na kuvifuatilia si tungekuwa mbali sana? Shida ni kuwa wabunge wengi wanataka ku-maintain "Status Quo" kwahiyo wanaingia bungeni kulala tu...Sasa sikiliza muziki wenu unakuja...dawa yenu iko kwa babu inachemka..muda wa kuwa wabunge wa kusinzia unakaribia ukingoni....kuweni macho...Mdau-CA, USA

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2012

    Mwigulu umekuwa msemaji wa Gavana? Ungeacha gavana mwenyewe ajibu tuhuma hizi. Pia wewe kama ccm hupaswi kutetea maovu ya BOT hata kama uliwahi kufanya kazi huko.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2012

    There is no acceptable excuse as to why the reports should lag behind 6 months. PERIOD!
    That Bunge Committee under chairmanship of Zitto reduced the frequency of Monetary Comiittee (SABABU YA KIPUMBAVU).

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 14, 2012

    Kwanza Nchemba sio msemaji wa benki kuu. Zitto ana wajibu wa kutoa taarifa na kuhoji BOT maana yeye ni waziri kivuli wa fedha na ni mwenyeketi wa kamati ya mashirika ya umma. Nchemba aache ushankunanku.

    Wakati Nchemba akimpigia Ndulu angemtaarifu aweke hizo taarifa kwenye website. Ku update taarifa watu lazima wakae vikao??? Suala la kuwepo taarifa muhimu kwenye tovuti ni tatizo sugu kwenye tovuti za idara za serikali. Kuna watu wanalipwa kwaajili ya kazi hiyo! Kama taarifa hazipo, wanalipwa kwa kazi gani? Halafu taarifa za mwenendo wa uchumi zinahitajika si kwa wabunge tu, ni muhimu kwa wadau wengi wenye masilahi ya na shughuli za biashara na uwekezaji. Ajabu huyu Nchemba anashindwa kuchambua hoja, wakati anadai alikuwa analyst benki kuu...huko alikuwa analyse kitu gani? Kama ni upotoshaji Nchemba ndiye anayetoa taarifa za kupotosha!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2012

    Hi Nani aliyemuajiri mwenzake, ni Gavana ndio ametuajiri wananchi hadi tunapotaka hizi data inatubidi tuwe responsible na kumpigia Gavana, au sisi ndio tumemuajiri Gavana hivyo yeye anapaswa awajibike kwetu kwa kuweka hizo data katika mtandao mapema iwezekanavyo?
    Viongozi wetu wengi hawawajibiki kwetu, wanataka sisi ndio tuwajibike kwao.
    Kama hizi data zinahitaji kupitiwa na kamati zinazohusika basi zilitakiwa ziwekwe kama draft hadi pale zitakapohakikiwa na kuwa final.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2012

    zitto sio msomi peke yake bungeni, kuna watu wamemzidi. Acheni kuwadanya watu ana usomi gani, ila taratibu hazitaki kufuatwa. Mtu akitaka informat ion anataka aipate hata bila ya kufuata utaratibu. this is big problem. Shortcuts won't in our development.

    ReplyDelete
  12. simon condradMay 14, 2012

    nachoka sana na kauli ya Mwigulu. Hataki umma ufahamu madudu ya hao vibonde wa BOT?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...