Mnuso wa Nguvu wa kumuaga ( Pre-wedding party) binti wa mdau mkubwa wa Globu ya Jamii ambaye ni Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli nchini Ankal Midlaj Maez,  Naseem ( wa pili kushoto), uliyofanyika Mei 9, 2012 katika Ukumbi mwanana wa Hoteli ya Lion ,Sinza jijini Dar es salaam. Pichani ni  Naseem akiwatambulisha Wazazi kwa jamaa ndugu na marafiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...