Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2012

    Hongera John Bocco kwa kuwakimbiza hao "mapro".Umefanya vizuri sana.Nilikuwa najaribu kukulinganisha na Adebayor 'orijino' wa Tottenham-Michezo 36 ana goli 15(Mancity+Tott.) kwa hiyo michezo 25kama uliyocheza wewe angekuwa na goli 10!Sikuangalia sana kama alicheza michezo yote au la,na wewe kuna michezo hukucheza nadhani.Usikate tamaa kijana bado umri wako mdogo,naomba uendelee kuichezea timu yetu ya Taifa,Taifa Stars.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...