Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Nchini, Hani Abdullah Mominah, ofisini kwake jijini Dar es salaam May 7, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Hani Abdullah Mominah kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam May 7, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...