DSC04741
Waliokaa kutoka kulia ni Prof. Joseph Kuzilwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Hospitali ya Taifa Muhimbili akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali Dkt. Marina Njelekela. Waliosimama ni Wakuu wa Idara mbalimbali za Hospitali.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Joseph Kuzilwa  ametembelea Hospitali kwa ajili ya kufahamiana na Wakuu wa Idara pamoja na kutembelea maeneo mbalimbali huduma zinapotolewa.

Prof. Kuzilwa alitembelea idara ya kitengo cha moyo kinachotarajiwa kufunguliwa wakati wowote kuanzia sasa ili kujionea hatua iliyofikiwa, alitembelea idara ya kumbukumbu za wagonjwa, physiotherapy, idara ya magonjwa ya afya ya akili, kitengo cha ufuaji, mitambo ya kutengeneza steam kwa ajili ya kuwasha mashine za ufuaji na jikoni pamoja na mtambo wa kuchoma taka za Hospitali.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...