Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Aman Abeid Karume, katibu Mkuu wa CCM, Wilson Miukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama kabla ya kufngua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma jana.
Washiriki wa Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kuahoto), Kingunge Ngombale -Mwiru (katikati) na Peter Kisumo wakiteta katika semina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma jana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...