Rais Jakaya Mrisho Kikwete maombolezo ya Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa mjane wa  Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam.shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...