Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akiondoka Mahakama hapo baada ya kutoa ushahidi wake.
UPOTEVU WA PESA, RAIS MSTAAFU NA MAPIKI PIKI..DUU HATA QUEEN HAPA UK HUWEZI KUONA KITU KAMA HII...LET HIM BE TREATED LIKE MOST OF TANZANIANS, HE WAS A PRESIDENT THE KEY WORD HERE IS WAS.
ReplyDeleteKwanini yuko escot na pikipiki ya trafik mnaongeza gharama hao ambao wanaambiwa wanakula pesa ya uma na hapo mnafanya nini?hii nchi bwana kwakweli hata hao wanashtakiwa basi wanaonewa!
ReplyDeleteHuyo ni raisi mstaafu kwa maana anazo Siri nyingi za nchi,akitekwa azitoe ?
ReplyDeleteWacheni ujinga jamani.
Jamani naomba tumfanyie haki Rais wetu mstaafu.. Escort mmoja tu bana.. na makelele hizo.. Yeye alikuwa Rais na ni haki yake kupata hiyo escort na security..
ReplyDeleteKila kitu hata uk,hata ulaya n.k Kuna mambo mengi ya kuzingatia kabla ya kukosoa jambo.
ReplyDeleteWewe upo UK ya wapi ya Ukerewe nansio ama wapi ambako queen hawi na escort?
ReplyDeleteuk,ulayamarekani wapi huko kokote mlipo muacheni Raisi mstaafu wetu nyie bebeni maboksi na kukaaa na vizee vyenu vizungu huko. . .
ReplyDeleteHuyo ni rais mstaafu escort ni lazima. Uko UK ni ya kwao. Nasi tuacheni,mwataka tuige kila kitu chao?
ReplyDelete