Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa  Costa Mahalu,  anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akiondoka Mahakama hapo baada ya kutoa ushahidi wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2012

    UPOTEVU WA PESA, RAIS MSTAAFU NA MAPIKI PIKI..DUU HATA QUEEN HAPA UK HUWEZI KUONA KITU KAMA HII...LET HIM BE TREATED LIKE MOST OF TANZANIANS, HE WAS A PRESIDENT THE KEY WORD HERE IS WAS.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2012

    Kwanini yuko escot na pikipiki ya trafik mnaongeza gharama hao ambao wanaambiwa wanakula pesa ya uma na hapo mnafanya nini?hii nchi bwana kwakweli hata hao wanashtakiwa basi wanaonewa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2012

    Huyo ni raisi mstaafu kwa maana anazo Siri nyingi za nchi,akitekwa azitoe ?
    Wacheni ujinga jamani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2012

    Jamani naomba tumfanyie haki Rais wetu mstaafu.. Escort mmoja tu bana.. na makelele hizo.. Yeye alikuwa Rais na ni haki yake kupata hiyo escort na security..

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2012

    Kila kitu hata uk,hata ulaya n.k Kuna mambo mengi ya kuzingatia kabla ya kukosoa jambo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2012

    Wewe upo UK ya wapi ya Ukerewe nansio ama wapi ambako queen hawi na escort?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2012

    uk,ulayamarekani wapi huko kokote mlipo muacheni Raisi mstaafu wetu nyie bebeni maboksi na kukaaa na vizee vyenu vizungu huko. . .

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2012

    Huyo ni rais mstaafu escort ni lazima. Uko UK ni ya kwao. Nasi tuacheni,mwataka tuige kila kitu chao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...