RATIBA MPYA YA KOMBE LA MUUNGANO 2012.
TAREHE 06/05/2012 NI KIJITONYAMA CHIPUKIZI S.C vs KIJITONYAMA STARS.
TAREHE 18/05/2012 NI KIJITONYAMA CHIPUKIZI S.C vs KATABAZI F.C.
...
TAREHE 26/05/2012 NI KIJITONYAMA CHIPUKIZI S.C vs KIJITONYAMA VETERANS.
TAREHE 03/06/2012 NI KIJITONYAMA CHIPUKIZI S.C vs SPARROWS(DISCIPLINE)
TAREHE 09/06/2012 NI KIJITONYAMA CHIPUKIZI S.C vs GONGA F.C
N:B KWENU WADAU WETU HII NDIO RATIBA INAYOHUSU LIGI YA MUUNGANO 2012 BAADA YA TIMU KOROFI KUENNGULIWA KATIKA MASHINDANO,KWA YOYOTE ANAYETAKA KUISAIDIA KCSC KWA HALI NA MALI AWASILIANE NA UONGOZI KWA BARUA PEPE kijitonyamachipukizi.02@gmail.com KWA KWELI TUNAHITAJI MSAADA KWA SASA KWA KUWA TUNASHIRIKI LIGI DARALA LA 3 NA BAJETI HAITOSHI KUSHIRIKI MASHINDANO VIZURI.
MECHI ZOTE ZITACHEZEWA KATIKA UWANJA WA BORA-KIJITONYAMA JIRANI NA KITUO CHA POLISI MABATINI NA HAKUNA KIINGILIO
LIGI YA COPACOCACOLA 2012 .
JUMAMOSI WIKI SAA 4:00 ASUBUHI KUTAKUWA MECHI KATI YA KCSC U-17 vs TEGETA KIDS KATIKA UWANJA WA MWENGE SHOOTING.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
HITIMISHO:
KWA WACHEZAJI WOTE WA KCSC UONGOZI UNASISITIZA WACHEZAJI KUWAHI MAZOEZINI NA VISINGIZIO VISIWEPO KIPINDI HIKI NA WALE U-17 AMABO HAWAJARUDISHA JEZI KWA SABABU WANAZOJUA WAO LEO ADHABU RASMI ZINAANZA KUTOLEWA.TAARIFA ZOTE ZIMETOLEWA NA UONGOZI KCSC
.TAARIFA ZOTE ZIMETOLEWA NA UONGOZI KCSC 02/05/2012
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...