Meneja biashara na Masoko Amani Boma kutoka katika kampuni ya Real Insurance akiwa anaonesha manjonjo ya mchezo huo wa golf
baadhi ya wachezaji wa mpira wa golf katika viwanja vya Gmykana jijini Arusha. Kampuni hiyo imejidhaotiti vilivyo katika kuhakikisha kuwa mchezo huo wa golf unakuwa ni mmoja ya michezo maarufu sana hapa nchini ambapo jumla ya washiriki 100 kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini wamshiriki mchezo huo na kujipatia zawadi mbalimbali.
Picha na Mary Kitosio
Picha na Mary Kitosio
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...