Wachezaji wa Kilimanjaro Taifa Stars wakiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alfajiri ya leo kuelekea jijini Abidjan kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Ivory Coast ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Dunia. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Jumamosi Juni 2.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2012

    sawa langu jicho tu ....tutawaona au tutawasikia

    lazima mubadilishe kocha

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2012

    Nendeni salama vijana, Matokeo wao 6 na sisi 1. kichwa cha mwendawazimu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2012

    hivi kweli hio miili uende kukutana na mtu kama Yaya Toure si kutafutana lawama tu jamani...? eti ankal unasemaje!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2012

    Hawa ndio kichwa cha mwendawazimu. Anayebisha asubiri matokeo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...