Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akicheza mpira wa netball wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Afrika yaliyoanza rasmi leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.katika mchezo huo,timu ya Tanzania, Taifa Queens imeweza kuichabanga timu ya Lesotho magoli 57-13.
Kikosi cha timu ya Lesotho.
Kikosi cha timu ya taifa ya Netiboli ya Tanzania 'Taifa Queen's.
Kila la kheri Taifa queens Mmetoka mbali...
ReplyDeleteHukuchukua picha za 3D ankal, au hizo ni binafsi?
ReplyDeleteNaona Lesotho wameshiba vizuri.. Bongo naona mazoezi mengi wamekaa sawa.. all the best Taifa Queen
ReplyDelete....ndio maana kusini mwa Afrika kuna kiwango kikubwa cha maambukizi ya ukimwi.
ReplyDelete