Home
Unlabelled
tanzanians kicked out of big brother Stargame 2012 tonight!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana. masindano yenyewe ni ushetani mtupu. Afadhali wametoka mapema.
ReplyDeleteBora wametoka huo ni mpango wa Mungu wasije kuchafuliwa na kashfa, they are really nice people and I am very proud of them
ReplyDeleteWhy Am I not suprised about this pariah!
ReplyDeletebORA WAMETOKA AFTER ALL NCHI ILISHAKATAZA WAO WAMEENDA KUFANYA NINI? NA TUTAFANYA kmaeni KUBWA wawe wanatoka katika round ya kwanza kabisa! ankal waambie kabisa! ni kinyume na maadili ya nchi! ukiuliza unaambiwa wanaeda kama wao! kwanini wabebe bendera ya Tanzania?????
ReplyDeleteBongo si tuliambiwa tumepigwa marufuku? sasa tumekwenda kufanya nini au ndio kidiplomasia?
ReplyDeleteKama ulikuwa unatazama Big Brother.ukiachilia mbali uzalendo, they deserve kutoka kabisa, especially huyo Julio.alikuwa hana chochote, he was boring to the maximum. I feel sorry for Hilda.
ReplyDeletesafi saana, sio umuhimu wa kiuwepo kwa BBA kwani ni show inayochangia mmomonyoko wa maadili.
ReplyDeletepheew at least they are out with their diginity intact.. The longer you stay in that house, the crazier you become
ReplyDeleteBBA hawakufuata matokeo ya kura.
ReplyDeleteLaana mbili kubwa sio mchezo:
ReplyDelete1.LAANA YA MUNGU, Mashindano yenyewe yapo nje ya kabisa ktk Mipango ya Muumba!
2.LAANA YA BABA, Mashindano hayajabarikiwa na SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
Huyo dada amejitanda Bendera ya nchi kama Mwananchi na sio uwakilishi wa Kitaifa wala Kiserikali!
KAMA NI KUTAFUTA FEDHA NA UMAARUFU MRUDI NYUMBANI BONGO MJE MTAFUTE SEKTA ZINGINE.
MPO HAPO?
Safi sana watu wenyewe hata mvuto hakuna ilo tulijua hatufiki mbali. kwenye uchaguzi ndio wametuangusha.
ReplyDeletenot bad
ReplyDeletenot bad
ReplyDeleteI am proud of you Hilda na Julio, yote mipango ya Mungu you played your part briantly well.
ReplyDeleteBENDERA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA:
ReplyDeleteNi miongoni mwa Bendera zenye Baraka nyingi sana za Mwenyezi Mungu!
Niionapo Bendera ya nchi yangu ninapata Matumaini!
Inanikera saaana ninapoona Bendera hii Tukufu kabisa ikitumika sehemu 'haramu' kama hapo inavyopelekwa BBA!
Kwa kweli mwili unanisisimka kwa Bendera yetu kutumiwa ndivyo sivyo!
Mungu Ibariki Afrika!
Mungu Ibariki Tanzania!