Habari uncle michuzi
Tafadhali naomba msaada wa wadau katika hili. Natafuta medical school India au Malaysia. Ningependa sana mwenye information zaidi kuhusu vyuo specific yani recomendations au personal experience anisaidie kimawazo. Ningependa kujua kama kuna recomendations zozote za shule au cities gani nzuri kishule zaidi, na living expenses na school fees. asanteni sana kwa mchango wenu wa mawazo na msaada wenu
Asante sana ankali
Mdau
Mama Claire
in case of india zipo ila ni ghali sana, sio rahisi kupata medicine,ila pharmacy wanatoa.
ReplyDeleteJaribu kucheki charya university, Bangalore, India. search kwenye net. Utapata. Namimi leo nitakusaidia kusearch niyakurushia majibu kwenye blof hii..
ReplyDeleteROSALINDA
bongalore kuna vyuo vya fani hizo lakini tution fee iko ghali kidogo but masoma hayo popote pale yako juu but chuo kama acharya ni kizuri mimi nina mtoto wangu anasoma hapo na kinatambulika some time ukitaka urahisi unaweza kupata degree fake
ReplyDeleteindia zipo kwa miaka minne na nusu ada tuu ni zaidi ya TSHS.150m kwa medicine kipo chuo kizuri mji mdogo mji wa kusoma wa mysore http://www.jssmedicalcollege.in/ web site yao hiyo chuo bora southern india
ReplyDeletehujaweka contact mama
ReplyDeletewasiliana na global education link ltd wako sabasaba ground, kwa namba 0732 997841 watakusaidia kwa kila kitu unachotaka kujua maana wanahusika na mambo ya education india.
ReplyDelete