MC Ike tells Julio  and Hilda  from Tanzania during the first eviction night of the reality TV show tonight that ...Sorry, you two are  OUT! This is the end of the road for Tanzania in this crazy StarGame edition 2012!!! Imekula kwetu mwaka huu..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    Safi sana. masindano yenyewe ni ushetani mtupu. Afadhali wametoka mapema.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2012

    Bora wametoka huo ni mpango wa Mungu wasije kuchafuliwa na kashfa, they are really nice people and I am very proud of them

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2012

    Why Am I not suprised about this pariah!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2012

    bORA WAMETOKA AFTER ALL NCHI ILISHAKATAZA WAO WAMEENDA KUFANYA NINI? NA TUTAFANYA kmaeni KUBWA wawe wanatoka katika round ya kwanza kabisa! ankal waambie kabisa! ni kinyume na maadili ya nchi! ukiuliza unaambiwa wanaeda kama wao! kwanini wabebe bendera ya Tanzania?????

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2012

    Bongo si tuliambiwa tumepigwa marufuku? sasa tumekwenda kufanya nini au ndio kidiplomasia?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2012

    Kama ulikuwa unatazama Big Brother.ukiachilia mbali uzalendo, they deserve kutoka kabisa, especially huyo Julio.alikuwa hana chochote, he was boring to the maximum. I feel sorry for Hilda.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2012

    safi saana, sio umuhimu wa kiuwepo kwa BBA kwani ni show inayochangia mmomonyoko wa maadili.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2012

    pheew at least they are out with their diginity intact.. The longer you stay in that house, the crazier you become

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 14, 2012

    BBA hawakufuata matokeo ya kura.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2012

    Laana mbili kubwa sio mchezo:

    1.LAANA YA MUNGU, Mashindano yenyewe yapo nje ya kabisa ktk Mipango ya Muumba!

    2.LAANA YA BABA, Mashindano hayajabarikiwa na SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,

    Huyo dada amejitanda Bendera ya nchi kama Mwananchi na sio uwakilishi wa Kitaifa wala Kiserikali!

    KAMA NI KUTAFUTA FEDHA NA UMAARUFU MRUDI NYUMBANI BONGO MJE MTAFUTE SEKTA ZINGINE.

    MPO HAPO?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2012

    Safi sana watu wenyewe hata mvuto hakuna ilo tulijua hatufiki mbali. kwenye uchaguzi ndio wametuangusha.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 14, 2012

    not bad

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 14, 2012

    not bad

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 14, 2012

    I am proud of you Hilda na Julio, yote mipango ya Mungu you played your part briantly well.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 15, 2012

    BENDERA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA:

    Ni miongoni mwa Bendera zenye Baraka nyingi sana za Mwenyezi Mungu!

    Niionapo Bendera ya nchi yangu ninapata Matumaini!

    Inanikera saaana ninapoona Bendera hii Tukufu kabisa ikitumika sehemu 'haramu' kama hapo inavyopelekwa BBA!

    Kwa kweli mwili unanisisimka kwa Bendera yetu kutumiwa ndivyo sivyo!

    Mungu Ibariki Afrika!

    Mungu Ibariki Tanzania!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...