Wingu limetanda na mvua inanyesha kutwa ya tatu leo jijini Dar es salaam. 
Maeneo ya TAZARA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    Ila jamani eeh tuseme ukweli,tuache kwanza huko kwenye nchi zilizoendelea..jiji la Dar ni moja ya majiji bora kabisa,matatizo tu ya haya maji taka(uchafu kwa ujumla Dar ni pachafu),'foleni' za magari,n.K.Hapa naelewa ni kama nawasha moto ila tuanze na majiji ya Afrika kwanza.....!

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    can't wait to finish studies and head back home god willing,london boring missing dar its people and what it offers,thank you uncle kwa taswira.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2012

    Ila aliyeweka picha kanipa challenge kweli! Hivi hapa ni Tazara kweli, mimi naona kama junction ya Ilala/Karume? Wenzangu mnaonaje? Ningependa kujua kwa uhakika

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2012

    Siyo wewe tu mwenye uchungu wa kurudi, tuko wengi, yaani tutabanana huko huko, uchafu anaousema David V haujatisha kama niliouona nchi fulani. Dar hatuna uchafu, basi tu David hujatembea.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2012

    hapana mahali duniani kusikokuwa na foleni, lakini wenzenu wanauwa mji mzima na kuwahamisha watu ili kujenga barabara nzuri sasa hapa mnajenga mpaka mabondeni na ukiangusha kibanda inajengwa ghorofa sasa serikali itapata wapi hela za kuwalipa watu wahame kutoka kinondoni ijengwwe flyover kuungana na morogoro road au kutoka kariakoo ivunjwe mighorofa yote ile ili ijengwa flyover ya jangwani na magomeni kuvunjwe kote ijengwa barabara. Au ofisi zote za serikali zihamie bagamoyo au Kibaha kwa sababu ofisi nyingi wamejaa wachaga na wao ndio wanaokaa kimara itakuwa rahisi kwenda kazini. Najua hapa nimechoza lakini ndio ukweli wenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...