Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (kulia) akimkabidhi Muhagachi Chacha, Laptop, baada ya kupata udhamini wa kusomeshwa na TCRA Masomo ya uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) jumla ya wanafunzi Nane Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika na ufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao.
Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma wa Nne kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa waliofanikiwa kupata ufadhili wa Kusoma masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) akiwaonyesha matumizi ya Kompyuta baada ya kuwakabidhi zawadi hiyo. Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika na ufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao.(Picha na Mdau Albart Jackson)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    Tuwekee na GPA zao ili tuone ni haki na si mjuwano.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    Msichana mmoja tu!! Je tutafika katika wimbo huu wa haki sawa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2012

    Acha ubaguzi wa kijinsia wewe dada wa pili. Ulichopaswa kuuliza ni vigezo vilivyotumika na si vinginevyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...