Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa katika uzinduzi rasmi wa tawi la Chadema Washington Dc,nchini Marekani.kwenye meza kuu wa kwanza kushoto ni Libe Mwangombe, akifatiwa na Mbunge wa Jimbo la Iringa,Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe. Zitto Kabwe Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mhe. Nassari Joshua a.k.a Dogo Janja Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki. mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington Dc.
Baadhi ya wakereketwa wakichukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington
Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) Akishanga mamia ya wana DMV waliofurika katika uzinduzi rasmi wa tawi la Chadema Washington Dc.
Mhe. Peter Msigwa akiandika masuali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya wakireketwa wa CHADEMA,Washington DC..
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mhe. Zitto Kabwe akitoa hotuba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania
Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe. (Picha na Swahili Villa Blog.)
ndio nini sasa? acheni ushamba
ReplyDeleteChadema wanatisha hadi kwa OBAMA?????????? People's Power kweli kweli.
ReplyDeleteDuuu, pwaya kabisa wana nyuso za huzuni, haikuwa rahisi kukodisha watu kama wanavyokodusha watu kutoka maoneo yao kuwapeleka sehemu kuongeza idadi, imekuwa ngumu huku. Mbunge wao wa Marekani mbona hatumuoni kuongea? Inakuuaje hivyo?
ReplyDeletekuna picha nyingi zinawekwa hapo ,walikuwa na huzuni ni kutokana na ujumbe waliokuwa wanasikiliza.Ndugu yangu hapo ilikuwa mwanzo watu walizaa na kucheza mziki tutaweka picha nyingine mtaona.subiri utaona wewe husikimbilie kusema ,sisi ni makini.hujui kwa nini tumeweka hii picha subiri funika sasa.pipoooooooooooooooooooo,pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteccm walisindua chama chao waulize basi picha zipo wapi??????????????????????????????????????????????????
ReplyDeleteujaujua huo ukumbi ,kuna watu wamekaa upande mwingine ,husiongee kitu ni balaa kwa na kubwa kwa watanzania tulio nje.kwani unafikiri watanzania walio marekani ni wengi kama huku ulaya?????,hapana
ReplyDeleteChadema wanatishaaaaa safi sana mpaka kieleweke 2015
ReplyDeleteKwa niliyoyashuhudia jana, kweli Watanzania ulimwengu mzima wanataka na pia wako tayari kwa mabadiliko! Viva Chadema Viva. Aluta Continua.........2015-:)
ReplyDeleteUkumbi upo waazi huku hao hapo wachache wa wanaosikiliza ni wana CCM!
ReplyDeleteKuelekea 2015, CCM mtajibeba!
ReplyDeleteWe anonymous uanesema kukodisha watu nadhani unafikiri hawa ni ninyi ccm mnaokodishaga watu? hawa watu wanapeleka huko na kumbuka hapo c nyumbani ni marekani kama hujasoma kichwa cha habari. ZITO MJE NA HUKU UINGEREZA NA SISI TUNAHITAJI KADI ZENU TAFADHALI
ReplyDeletehah ahah, ati mbunge Dogo janja akishangaa ma100 ya wakereketwa, duh anashanga nn sasa si waliwaalika wenyewe? Yaani wa Tz wote walio huko mlipata hao tu?s
ReplyDeleteHata tulio Australia tunataka mje.
ReplyDeleteMie nilikuwepo na hakukuwa na mfuroko wowote,mradi wamepigwa na butwaa, na mbunge wao mwenye kesi kaufyata anaogopa kufutwa na FBI, aibu imewakuta walidhani watu wataacha shughuli zao kujasusikiliza utumbo.
ReplyDeleteNa wewe unayesema kuhusu picha za CCM, zitafute utaziona kama hujui ku-surf for information.........its your funeral!!!
Mtakufa kwa kijiba cha roho..............!!!! CCM tunaipenda na Jakaya tunampenda.........hatutishwi na hayo maneno, haoooooooo! Hawaelewani...............pipi!
Watanzania kwa kupenda kusafiri.. Haya ni matumizi Mabaya ya fedha kwa Chama kinachodai kitamkomboa mtz..
ReplyDeleteKuna wabongo wengine wapo VICHOCHORONI Ohio huko, hao hawana sifa ya kutembelewa.. ila wanaweza kuagiza kadi za Chadema..
ReplyDeleteCcm mmetuamgusha! Dharau kwa diaspora imefanya cdm iwe na nguvu. Ukweli diaspora inataka results kuliko siasa.kwanza,pitisha sheria uraia wa nchi mbili. Pili,watz waweze kupiga kura in diaspora. Tuanze na hayo mengine yatafata.asante.
ReplyDeletewachaga na chadema...hao kina Didi wanashabikia kutafuta kula tu! hakuna mwenye machungu hapo...wote wafanyabiashara
ReplyDeletenyie wenzangu mlio na hijab, msidanganyike hicho sio chama chenu. Kina wenyewe. Mnaingia kichwa kichwa tu bila ya kusoma alama za nyakati. Huko shimboni shafo tu.
ReplyDeleteNyie watanzania wa Marekani acheni kudanganywa, hao ni wahuni, mfano huyo Nasari eto dogo janja hakuna chochote huyo, ni mhuni anataka Tanzania iwe kama Sudan, kweli hzio ni akili, nadhani alikuwa hajafika hata huko Marekani hapo alipo ni kipofu kaona mwezi, hakuna chochote nyinyi hamuwezi nchi, na je mnajua kuwa hao Chadema wanauana wenyewe kwa wenyewe ili muwahurumie, hao ndio chadema sasa, wakichukua nchi ni damu tupu. HAMFAHI
ReplyDeleteWatu wanapoongea mambo muhimu ya kitaifa hawacheki cheki!
ReplyDeleteDuhhh
ReplyDeleteNi Ubwege wa hali ya juu kuwepo Marekani lakini unakuwa na Itikadi ya Chama kama CDM!
Mimi hata kama watakuwa wanalipa mshahara kwa wanachama ng'o siwezi kuwa Chadema!
UCHAGA UCHAGA HADI DC?
ReplyDeleteTUNAHITAJI TAWI HUKU HOUSTON,TX.
ReplyDeleteWaje Minnesota huko wachagga wa kumwaga , Nji ile ya Minnesota wachagga wachagga wachagga , halafu wote mission town , wakiajiriwa mwaka tuu hao wanasepa , wanajitokeza tuu na Magari makubwa makubwa wanachofanya hakieleweki , duu wachagga sina hamu nao
ReplyDelete