Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Victoria Foundation,Vicky Kamata (kushoto) akisalimiana na mtoto mwenye ulemavu wa mguu kwa ambao alizaliwa nao miaka 15 iliyopita alietambulikwa kwa jina moja la Ambar ambaye ni mkazi wa Nyakamwaga ,Mkoani Geita.
Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Victoria Foundation,Vicky Kamata (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya watu wenye ulemavu ambao ni wakazi wa  Nyakamwaga,Mkoani Geita wakati alipofika kutoa msaada wa Baiskeli za walemavu.
baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa wamepanda baiskeli zao baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Victoria Foundation,Vicky Kamata (hayupo pichani).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...