Mshambuliaji machachari wa Timu ya Simba,Haruna Moshi "Boban" (katikati) akiwasili kwenye chumba cha kuhifadhia Maiti kwenye Hospitali ya Taifa,Muhimbili jijini Dar es Salaam leo kwa kuangalia Mwili wa Mchezaji Mwenzake aliefariki Dunia alfajiri ya leo kwa ajali ya Gari,Patrick Mafisango.
Huzuni imetala kwa wachezaji wa Simba kwa kumpoteza Mwenzao.
Gari alilopata nalo ajali Patrick Mafisango linavyoonekana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2012

    Simba tumepoteza jembe, Mwenyezi Mungu amrehemu Papaa mafisango.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2012

    Bado naona kama ndoto vile siamini,nimeshtuka na kusikitishwa sana kwa kweli kwa taarifa hizi, dah Mafisango jamani.
    Pumzika kwa amani braza.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2012

    Pole wachezaji na mashabiki wa simba. Apumzike kwa amani

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2012

    pumzika kwa amani laiti binadamu ungekuwa anaijua kesho..........

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2012

    kweli kifo hakina huruma

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2012

    hii inaonyesha hakufunga mkanda katoka laiti angefunga mkanda asingeweza kutoka ndani ya gari jamanii mkanda ni muhimu sana kwa waendesha magari lazima tujali

    ReplyDelete
  7. Innalilihi wa inna illahirajeoun

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 18, 2012

    we ndugu unaedai mkanda haukufungwa elewa kwamba ajali haina kinga......stop talking nonsense

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...