Mshambuliaji machachari wa Timu ya Simba,Haruna Moshi "Boban" (katikati) akiwasili kwenye chumba cha kuhifadhia Maiti kwenye Hospitali ya Taifa,Muhimbili jijini Dar es Salaam leo kwa kuangalia Mwili wa Mchezaji Mwenzake aliefariki Dunia alfajiri ya leo kwa ajali ya Gari,Patrick Mafisango.
Huzuni imetala kwa wachezaji wa Simba kwa kumpoteza Mwenzao.
Gari alilopata nalo ajali Patrick Mafisango linavyoonekana.
Simba tumepoteza jembe, Mwenyezi Mungu amrehemu Papaa mafisango.
ReplyDeleteBado naona kama ndoto vile siamini,nimeshtuka na kusikitishwa sana kwa kweli kwa taarifa hizi, dah Mafisango jamani.
ReplyDeletePumzika kwa amani braza.
Mdau
Mike
Pole wachezaji na mashabiki wa simba. Apumzike kwa amani
ReplyDeletepumzika kwa amani laiti binadamu ungekuwa anaijua kesho..........
ReplyDeletekweli kifo hakina huruma
ReplyDeletehii inaonyesha hakufunga mkanda katoka laiti angefunga mkanda asingeweza kutoka ndani ya gari jamanii mkanda ni muhimu sana kwa waendesha magari lazima tujali
ReplyDeleteInnalilihi wa inna illahirajeoun
ReplyDeletewe ndugu unaedai mkanda haukufungwa elewa kwamba ajali haina kinga......stop talking nonsense
ReplyDelete