Wadau Kevin Costa na Doreen Kiwia wakitoka kuchota msosi kwenye mnuso wa nguvu wa kumeremeta kwao uliofanyika ukumbi wa Selous katika hoteli ya JB Belmont iliyoko Quality Centre jijini Dar es salaam wikiendi ilopita. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Wadau Kevin Costa na Doreen Kiwia wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
huyo hapo kulia miwani mikubwa lakini hajuwi mavazi gani yavaliwe wapi, wakati gani, kwa madhumuni na shughuli gani?
ReplyDelete