Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafugaji wa nyuki kutoka Pemba na Rufiji waliomtembelea nyumbani kwake Dodoma kwa ziara ya kujifunza ufugaji nyuki iliyodhminiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wafugaji nyuki kutoka Pemba na Rufiji waliotembelea shamba lake la nyuki ili kujifunza May 15, 2012. Kushoto kwake ni Ladislaus Mamanga ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao ulidhamini safari hiyo na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Juma Kassim Tindwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...