Mh Mkuchika akiwahutubia kwa nyakati tofauti wanavijiji wa Mtopwa, Idamnole, na mtongwele (hawapo pichani) jana katika siku ya tatu ya ziara yake ya siku saba ya kutembelea wilaya hiyo ambapo atahutubia vijiji 22
WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais utawala bora, George Mkuchika ambaye pia ni mbunge wa Newala, akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa wazee wa kijiji cha Mtopwa Yusufu Livata kumpongeza kwa kuteuliwa tena kuingia katika baraza la mawaziri., mkuchika yupo katika ziara ya siku saba ya kutembelea wilaya hiyo (Picha na Hassan Simba).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2012

    ZAWADI NONO YA VITAMIN C NAKUMBUKA MAMBO YA LINDI EMBE KIBAO

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2012

    Hilo linaitwa pakacha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...