Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wawekezaji kutoka kampuni ya Endenville Energy PLC ya Uingereza ambao wanakusudia kuwekeza katika umeme wa makaa ya mawe nchini.Wawekezaji hao ni Mwenyekiti wa Kampuni Simon Rollason (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni, Mark Pryor (wapili kushoto) na kushoto ni Mwenyeji wao, Cassiano Kaegele, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Upendo Group ya Sumbawanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA UMEME TOKA UINGEREZA LEO JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...