Wilfred Moshi amekuwa Mtanzania wa Kwanza katika historia ya Dunia,kupanda Mlima Mrefu kuliko yote Duniani,Mlima Everest uliopo kule nchini China.Pichani ni Mtanzania Wilfred Moshi akiwa kileleni kabisa mwa Mlima huo huku akiipeperusha vilivyo Bendera yetu ya Taifa.
kwa kusoma zaidi juu safari nzima ya Mtanzania Mwenzetu,Wilfred Moshi kwenda huko mlimani.
AU
Mlima Everest upo NEPAL siyo China. Kwanini usihakiki unachokisema jamani?
ReplyDeleteHongera sana Wilfred.
ReplyDeleteNadhani kwa mtazamo wangu mimi huu mlima uko border ya nepals/Tibet china in southern asia
ReplyDeletena unaweza kidogo kuufananisha na huu wetu hapa kilimanjaro yule alomjanja ndie anaeutangazia kuwa uko kwake
kwani hata huu kilimanjaro unaujuwa wewe kuwa uko tanzania ila wazungu wengi wanajuwa uko KENYA, kwani jirani zetu wao wanaupigia debe sana kuwa uko kwao na sisi watanzania kimya
kwahio ukisema uko nepal ni sawa ila hao wajanja wengine wanaupigia debe kuvutia utalii kwao na ndio ukaona hata huyu aloandika hii habari HAJUI KITU
utapandaje mlima everest huna gloves mikononi si vidole vitaganda with in minutes.... hiyo picture sio
ReplyDeleteMchagga wa kwanza kufika summit ya mt. Everest!
ReplyDeleteNDUGU YETU WOLFRED MOSHI HONGERA SANA KUFIKIA KILELE CHA EVEREST.
ReplyDeleteUMEONYESHA NIA DHAHIRI NA UJASIRI USIO KIFANI KUUKWEA MLIMA NA BENDERA YETU YA TANZANIA.
KHERI UISIMIKE KILELENI HUKO KAMA ISHARA YA UZALENDO (NA UGUNDUZI WETU WA MLIMA EVEREST).
MAINA OWINO
UK
mwambie mwambie huyo, sana sana asome vitabu siyo kutizama sinema tu za wanaigeria
ReplyDeleteHongera sana Wilfred Moshi....! Umeweka historia mplya kwa wa TZ. Ila naomba kujuzwa, huu mlima una vilele vingapi? au ulipiga picha hii wakati umeisha anza kushuka...maana naona kwenye background kama kuna kaji kilele kengine? ( Msinishambulie wadau, nataka kujua zaidi).
ReplyDelete...ummm... this picture looks... sijui! ... kama vile... studio maybe? ... :-)
ReplyDeleteHongera sana Fred... Kaka Michuzi tunaomba na yeye aalikwe Ikulu jamani kama akina Hasheem Thabit au unashauri vipi? Maana kafanya jambo jema.
ReplyDeleteHuyu jamaa amefika kwenye summit na sio Peak,ndio maana mnaona bado kuna kuna peak nyingine!
ReplyDeleteNakuhusu gloves unazoea tu, ukizidi kukaa kwenye baridi, na pale juu jua ni kali hata watu wanaweza kukaa bila ya nguo na hugandi!
hii ni video, jamaa wapo Alps Switzerland
http://youtu.be/9Jhs8yExFNs
picha hizi hapa
http://www.google.ru/search?q=%D0%BC%D0%BE%D1%80%D0%B6%D0%B8%20%D0%BB%D1%8E%D0%B4%D0%B8&um=1&hl=en&biw=1366&bih=667&ie=UTF-8&sa=N&tab=Ti&tbm=isch&source=og
Hongera sana Fred, Kwa wadau mnaopenda kuongea bila kufanya utafiti, Fred ni mzoefu ni kupanda mila, Kilimanjaro ndio ofisi yake, so kuvua glove for a picture its possible again kaka umeonyesha mfano kwa wapambanaji wengine wa mlima kilimanjaro hongera sana
ReplyDelete