Hii ni semi-trailer iliyoanguka karibu kabisa na njia panda ya Segera-Tanga, ambapo yanafanyika matengenezo makubwa ya kupanua barabara ya Segera-Tanga. Inabidi madereva kuwa makini sana wakati barabara hii inavyoendelea kupanuliwa.
Mdau Magdalena.
Sent from my iPad

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2012

    Wanaotakiwa kuweka tahadhari ili madereva wachukue tahadhari ni wanaojenga barabara na TANROADS. Siyo kila siku madereva tu ndo wana makosa. Sheria butu haiwawajibishi wazembe wanaofanya matengenezo ya barabara kwani kila siku wanasababisha ajali na hakuna wa kuwawajibisha kwani wawajibishaji wameshakula rushwa. Hili ni tatizo la nchi nzima na hata barabara za vijijini gari zinapata madhara sana kwa uzembe wa namna hii. Tuszoee kulaumu tu na kutaka kuzima moshi badala ya kutafuta moto uliko na kuuzima!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2012

    Kwanza kiwango cha road ni cha hali ya chini sana.Pili magari yenyewe hayana kiwango au yaha poor quality yani hayana good service,fake kwani unakuta hilo lori halija design niwa kufanya kazi linalo fanya ila Tz kila kitu kinawezekana.Tatu uongozi mbovu kwani trafic police wanayaona na wanayajua yanayo sibu kuwababisha ajali na kutoa roho za watu,hapa serikali yalijua hili pia.Tano sisi Watz ndio tunapenda kufa kwani ajali zinasababishwa na sisi wenyewe,hayo magari hayawi road bila mtu kuliendesha na kuuwa.Mfano hao trafic hapo wameweka mapipa road,angalau wangeweka gari la trafic police lina washa taa likionyesha umuhimu na ajali,wenyewe wamefunga njia na pikipiki(bodaboda).Sita na mwisha njia zetu ni nyembamba sana,hata lori alienei roadini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...