Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Magereza kikipita mbele ya Kamishna Mkuu wa Jeshi hilo,Augustino Nanyaro (hayupo pichani) wakati wa mahafali ya kuhitimu kwa Askari 746 wa Jeshi la Magereza nchini,mafunzo ya uongozi daraja la kwanza (NCO`S) kozi namba 19 katika chuo cha Kiwira- Rungwe mkoani Mbeya.Kamishna huyo pia aliwatunuku vyeo koplo na baadhi ya Askari wa Jeshi hilo huku wengine wakitunukiwa vyeo vya sajenti.
Askari wa Jeshi la Magereza waliomaliza mafunzo yao wakipita kwa ukakamavu mbele ya Kamishana Mkuu wa Jeshi hilo.
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania,Augustino Nanyaro akizungumza hatika hafla hiyo.
Kamishna akikagua gwaride la wahitimu wa kozi ya uongozi
Kikosi cha kareti kikionyesha umahili wake mbele ya kamishna wa magereza.Picha zote na Mbeya Yetu Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...