Mkazi wa Mji wa Ifakara ambaye ni mvuvi wa samaki katika mto Kilombero, Salehe Mfuko akipanga aina ya samaki ambao wameongezeka ukubwa baada ya kusitizwa kwa shughuli za uvuvi katika kipindi cha miezi sita kuanzia Desemba mosi mwaka jana hadi Juni 13, mwaka huu , huku wananchi wakiwaangalia sakami hao.
Mvuvi akiongelea katika kina kirefu cha maji ya mto Kilombero ikiwa ni kuonesha furaha yake ya kufunguliwa kwa shughuli za uvuvi baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi sita kuanzia Desemba mosi mwaka jana hadi Juni 13, mwaka huu.
Mvuvi akielezea furaha yake mbele ya wananchi wa Mji huo eneo la Kivukoni kuhusu kitendo chake cha kuongelea kwenye kina kirefu cha maji ya mto Kilombero ikiwa ni kuonesha furaha yake baada ya kufunguliwa kwa shughuli za uvuvi katika mto huo baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi sita kuanzia Desemba mosi mwaka jana hadi Juni 13, mwaka huu.
Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...