Former President Mzee Benjamin William Mkapa and his wife take time out to spend a day at the Kibaha Children’s Village, a satellite project of Equal Opportunites for All Trust Fund (EOTF), founded and administered by the former First Lady, Mama Anna Mkapa.
Orphans at the centre sing to Babu and Bibi
Babu enjoys quality time with the orphans
Kibaha Children’s Village is a satellite project of Equal Opportunites for All Trust Fund (EOTF), founded and administered by the Honorable Mama Anna Mkapa, former first lady of Tanzania.
This project has been developed to address the pressing need in Tanzania to deal with orphaned and abandoned children created by the AIDS epidemic and poverty.
Throughout the time Mama Mkapa has run EOTF, she has provided aid to many organizations that are involved with these children. She felt that what was needed was a better vision, a local Tanzanian vision, for the care of these vulnerable children.
What began as a vision has now become a reality with the opening of Kibaha Children’s Village.
It is located in the rural Kibaha district, about 40 kms from Dar es Salaam. Kibaha Children’s Village has taken years to develop as it strives to provide a quality of care that will serve as a model for other children’s centers in Tanzania. Built on the concept of a local village, the center currently has three residences completed and additional housing for staff.
It is located in the rural Kibaha district, about 40 kms from Dar es Salaam. Kibaha Children’s Village has taken years to develop as it strives to provide a quality of care that will serve as a model for other children’s centers in Tanzania. Built on the concept of a local village, the center currently has three residences completed and additional housing for staff.
Kibaha Children’s Village strives to provide not only food, clothing and shelter, but also early education and comprehensive health care, all in a setting that promotes connectedness and permanence for children who have survived on the fringes of society.
haa haaa hii nimeipenda sana duuu kweli umekuwa babu hadi raha keep that attitude hutokufa haraka watakuwa wanakuimbia hao wajukuu unacheka unasogeza maisha.
ReplyDeleteoooh masikini Bwana na awazidishie maradufu pale mlipo punguza ,jamani mmewatunza vizuri kiasi huwezi kuamini kuwa ni yatima hawa kwa namna ya kibongo tulivyozowea kuona yatima walivyo , loh
ReplyDeleteni mfano wa kuigwa ;
BIG BEN ; utakumbukwa kwa mengi sector ya afya kuna mkapa foundation na mengine mengi jamani mlio na uwezo igeni hapo sio kujazana kwenye siasa za maandamano na kukashifiana
Uungwana ni vitendo!
ReplyDeleteAhsanteni sana Mhe.Ben Mkapa na Mhe.Mama Anna Mkapa kwa kuwajali!
Imependeza sana kuona Wajukuuu wakiwa pamoja na Babu na bibi !!!
Hawa jamaa kumbe wako pamoja, nilifikiri kilishaeleweka baada ya uongozi kumalizika. Nawatakia kila lakheri.
ReplyDeletehii nimeipenda huu ndio mfano kwa kuuingwa kwa viongozi wengine sio kujilimbikizia mali tu,mkifa hamtaondoka na kitu,chumeni baraka hapa dunian, hii ndio sadaka kubwa kuliko zote ,Mungu awabariki wazee wetu.
ReplyDeleteHongereni sana! Hakika nimekipenda sana kituo hiki kitakuwa ni mfano! Inasikitisha kuona kuwa kuna baadhi ya watu wanafungua vituo vya watoto yatima kwa kujinufaisha wao na wanawaacha watoto wakiteseka.Kuna kituo hapa Arusha ambacho wanalazimisha watoto wadogo chini ya miaka 4 kufunga chakula...inatisha. Sijui tufanye nini ili watu kama hawa wachukuliwe hatua.
ReplyDeletenimewapenda bure,kumbe nanyi huwa mnaongozana, furahaa kweli, Mungu awabariki
ReplyDeleteMungu awabariki jamani
ReplyDeleteInapendeza sana hiyo ndo kazi bwana Yesu aliagiza tuifanye, tuhudumie yatima tujali wajane na kuwapa wale maskini. Mungu atawabariki daima kwa kugusa watoto hao. Hadi nimesisimkwa mwili kwa jambo hili. Jinsi babu alivyo relax na wajukuu wako huru kabisa. Inatakiwa viongozi waige hili sio kujifanya miungu watu wasiotaka kukosolewa hata kidogo wanapokwenda kinyume. Babu enzi zako ulikuwa mkali lakini mambo yalienda angalau sasa hivi tunajiuliza mengi
ReplyDeleteVijukuu vina deka deka !
ReplyDeleteWawawa !
Kwa nini na mimi nisitamani kurudi nyuma kuwa kama mtoto?
Hongera Wahesimiwa Mkapa.
ReplyDeleteHii ndio aina ya Uongozi wa Ahadi uliotukuka wa kufikiria zaidi waliokwama hasa kama hawa watoto!
nimependa hayo mapigo ya mama mkapa si mchezo maaka kajiachia kinyumbani kweli
ReplyDeletesio wale wengine kila sehemu wanauramba pamba utasema wapo nchi za baridi joto lote wanajivisha maguo mita 20 lol
hongera sana.
...Babu huyo !,Bibi huyo !
ReplyDelete...Babu huyo !,Bibi huyo !
...Babu huyo !,Bibi huyo !
...Babu huyo !,Bibi huyo !
...Babu huyo !,Bibi huyo !
Haya Ahsanteni Wajuuku zetu kwa kutupokea vizuri, sasa kuleni zawadi halafu tuanze kusikiliza hadithi zenu, sawa ?
...Ndiyooooo !
Kwa kweli inafurahisha sana Mhe.Ben Mkapa na Mhe.Mama Anna Mkapa kwa kutuunga mkono Wananchi!
Hongera saana kwenu!