Habari Michuzi na wote Tanzania.
Naom ba uniwekee hii website yangu ya kuuza na kukodisha Nyumba Zanzibar,Vile vile naomba Watanzania wote wanaotaka kutangaza Nyumba zao basi wanitumie email lafleure355@yahoo.com kwa sasa ni bure kutangaza hadi hapo website itakapokamilika zaidi.

Nawaomba mtume email pamoja na maelezo na picha zote,pamoja na namba zenu za simu na anuani kamili.hii itasaidia kutangaza kwa urahisi nyumba zinazouzwa na kukodisha pamoja na viwanja.
website kwa sasa inapatikana kwa address hii


Ahsanteni 
A.Said.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2012

    Ni wazo zuri sana. Ila itabidi ujiandaa vema kuepusha wateja wako (wanunuzi na wauzaji) na wewe mwenyewe kuingia katika mgogoro na watu wa ardhi na kodi (VAT na Income Tax). Nnavyoelewa mimi umiliki wa ardhi kwa zanzibar ni kwa wenyeji tu na VAT inatozwa katika MAUZO ya nyumba. Aidha faida ya mauzo ya nyumba (Capital Gain) inatozwa kodi ya mapato.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...