Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2012

    helment si ndiyo hiyo nyeupe aliyovaa kichwani; hapo vipi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2012

    UTAKUTA AMEPANDA BURE PIA HAPO...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2012

    Abiria yuko wapi hapo. Huyo ni PORISI na sheria zote ziko chini yake. Anaweza kazilinda au kuzitekeleza maana yeye ndiyo serekali ya rijamuhuri ra muungano!kama unabisha utasachiwa na utakutwa na bangi, unabishaa??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2012

    Hahaha! akikuta wewe na kosa kama hilo hakuachi mpaka akuchomoe.Hawa ndio wasimamizi wetu wa sheria za nchi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2012

    Hiyo ni mbaroni! hajavua kofia inaelekea hakikueleweka.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2012

    wewe uwe na adabu huyo sio abiria wa bodaboda ni polisi wa usalama barabarani.sheria inamtaka abiria kuvaa helmet sio polisi.msome mzielewe vizuri sheria jamani.

    ReplyDelete
  7. Mwangwitwa ChrisJune 20, 2012

    kufuata sheria bila shuruti,ni vijimambo tu,kapanda bure huyo ni kawaida yetu,hatupandi bure ndege tu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 20, 2012

    RAHA SANA SIKU HIZI POLISI WANATUJIBU MASHAMBULIZI KWENYE BLOG TEHTEHTEH NIMEKUBALI MAJIBU YENU MIE NINGEMDONDOSHA MOHA THE AJUE HELMET ALITAKIWA KUVAA AU HAKUTAKIWA?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2012

    lakini hizo kofia zina usalama gani jamani maana inavaliwa na kila mtu,vipi kuhusu magonjwa ya ngozi kuambukizana??????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...