Ni miaka mitatu imepita tangu ulipotutoka mpendwa wetu Louis Mipawa John
Hatutosahau upendo, ukarimu ucheshi, hekiman na busara zako.

Unakumbukwa sana na familia nzima ya marehemu Mzee John Sunga wa Bugando – Bugarika ,Mwanza, ndugu, jamaa na marafiki. Kamwe pengo lako halita zibika.

Bwana alitoa na Bwana alitwaa, Jina la bwana lihimidiwe
Roho ya marehemu Louis Mipawa apate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani. 

Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2012

    tutakukumbuka daima Louis

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2012

    You Will Always Be Loved Big Brother!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2012

    Endelea kupumzika kwa Amani Lous.Tutakukumbuka Daima!

    ReplyDelete
  4. Ritha mabongoJune 02, 2012

    Miss u a lot dear uncle.....Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie.. Apumzike kwa amani.. AMINA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...