Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii dkt Hussein Mwinyi akimsikiliza kwa makini Sr. Basilisa Panga (kushoto) kutoka Idara ya Afya ya Jimbo la Mbulu alipotembelea Bunge la Tanzania leo kwa ajili ya kuonana na Waziri huyo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii dkt Hussein Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Mji Mkongwe Muhammad Ibrahim Sanya(katikati) na Sr. Basilisa Panga (kushoto) kutoka Idara ya Afya ya Jimbo la Mbulu leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha(kulia).Picha na tiganya Vincent-Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...