Home
Unlabelled
lawrence masha ndani ya mkasi na salama jabir pale pale amaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
masha kweli mimi siishi tanzania lakini nina muda sijafika mwanza nilipofika hivi karibuni kweli kuna mabadiliko mm salama maswali yako umefanya kazi nzuri kula bata inaruhusiwa kijan bwana
ReplyDeleteNakupongeza Salama kwa kuweza kuleta watu mbalimbali hapo saloon yenu. Ila naomba niseme neno moja si watu wote wanajua kiingereza wanaoangalia hiki kipindi kuna wakati mtu anafululiza kingereza halafu anarudi kiswahili mtu anapoteza pointi. Kwahyo basi kama utakuwa unaalika watu kama mtu hawezi kiswahili basi iwe english tu kama hawezi english iwe kiswahili.
ReplyDeleteKWA KIDHUNGU SASA HEE HEE NJICHEKE KWANZA
I WOULD LIKE TO CONGRATULATE YOU FOR BEING ABLE TO INVITE AS MANY PEOPLE AS YOU CAN ON YOUR SHOW BUT I WOULD LIKE TO ADVISE YOU ON ONE THING AND THAT IS THE USE OF LANGUAGES( SWAHILI AND ENGLISH) WHEN PEOPLE ARE MIXING THE LANGUAGE IT IS HARD FOR A PERSON WHO IS NOT A BILINGUAL TO UNDERSTAND EVERYTHING THAT HAS BEEN SAID. YOU SHOULD DECIDE EITHER TO USE SWAHILI OR ENGLISH DEPENDING ON WHAT AN INVITEE CAN BE FLUENT ON.ALTERNATIVELY, YOU CAN HAVE A SHOW EXCLUSIVELY IN ENGLISH AS WELL AS IN SWAHILI
I HOPE THIS WILL HELP.
IT IS JUST AN ADVICE, YOU CAN LEAVE IT, IF YOU THINK IT DOESNT MAKE ANY SENSE TO YOU
WATU MNAPENDA KULALAMIKA. SALAMA HONGERA SANA KIPINDI CHAKO NI KIZURI SANA NA UNAKIMUDU. UKWELI SALAMA WU NI MZURI SANA KATIKA KIPINDI CHAKO CHA MIKASA TIFAUTI KABISA NA UNAPOKUWA BSS.
ReplyDeleteVery intelligent young man. I hope he does come back in 2015. Someone who values education and knows cheo si cha maisha,the former Tourism minister Maige? should have a chat with Masha.
ReplyDeletemichuzi mimi maoni yangu kusema kweli salama anastahili sifa kwa kipindi chake ila kuna kasoro kidogo kasoro zenyewe ni kwamba a.ninavyofahamu mimi kipindi chochote kinakua na awamu hata ukiangalia program kama hizi kule ulaya zinaendeshwa kwa muda kama tuseme miezi mitatu au minne halafu wanapumuwa lakini naona sister salama yeye anaendelea tuu mpaka watu wachoshwe mimi nahisi watu watachoka, na la pili au b.namuongelea muba,muba ni mkataji wa nywele mzuri lakini ukija katika uulizaji masuala yake hayaniridhishi kwasababu anachomekea masuali wakati mtu anaongea inakua kama anafuja kiasi fulani,huo ni mtazamo wangu ahsante michuzi kwa kutokunibania comment yangu.
ReplyDeleteMAISHA NI MZUNGUKO MASHA ANALIJUA HILO NDIYO MAANA YUKO SAFI KTK KAZI ZAKE. NA AMEONYESHA KUWA ANAWEZA KUISHI MAISHA YOYOTE NA SIASA.KAZI BINAFSI.YA JAMII NA KUJICHANGANYA. WENGINE WANASHINDWA KUANZIA WAPI. JIMBO LIMEPTEZA LAKINI WAWEZA KURUDI TENA.
ReplyDeleteHizi comments sijui kama Salama unazisoma au zinaishia kwa uncle tu, hata hivyo ningependa kuchangia kidogo. Kipindi chako bibie ni kizuri na zaidi ni pale unapotuletea watu wa aina tafauti katika jamii. Ila tu kitu kimoja naona itakubidi ukiangalie sana wakati unapofanya mahojiano na mtu. Mimi si mtaalam katika fani hii ya kuhoji watu lakini ninavyohisi naona unapenda kumkatisha mzungumzaji kabla hajamaliza point kwa kumbandikizia suala jengine tafauti kabisa na kile ambacho amekuwa anakizungumza. Mfano ni pale Mr Masha alipoanza kuzungumza historia ya baba yake katika miaka ya 60, hukuweza kumpa nafasi ya kuelezea hata kidogo ukambandikiza suala jengie tafauti kabisa. Matokeo kama haaya yako mengi katika vipindi vyako kwa hivyo unakuwa unatoksesha mengi sisi wasikilizaji.
ReplyDeleteSalama nimekubali kuwa ulienda soma(UK kama sikosei). Kuna kitu tofauti kuhusu kipindi chako ambacho nashindwa kukielezea. Ila nikijaribu mfano jinsi unavyohoji respondents wako I could tell una uwezo wa kmsoma mtu kabla ya kumtwanga swali; hiyo inakufanya uweze kuuliza hata swali ambalo ni odd lakini mtu asisikie vibaya ku respond. I like it. Siongelei interview hii ila naongelea zote kwa ujumla.
ReplyDeleteUnafanya watu wafunguke na si ku-put words into their mouth kama wafanyavyo wengine wengi ambao kuhoji si fani yao.
Na hauko kusafisha watu hivyo unajitahidi kuuliza yote ambayo audience ingepata chance ya kukutana na hao watu ingeuliza; unlike wengi wanaojiita waandishi mahiri ambao wanauliza maswali kwa woga na kutokujiamini; matokeo yake wanaishia kutouliza maswali ya msingi.
Natamani ungekutana na wanasiasa wengi zaidi uwapige maswali.
Hiki kipindi kimenifanya nikupende sana.
Mdau (Binti - PhD student Europe)