Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu- Divisheni ya Biashara, Mhe. Kassim M. Nyangarika (wa pili kutoka kushoto), Msajili wa Mahakama Kuu- Divisheni ya Biashara, Mhe. John Kahyoza (wa kwanza kushoto kutoka mstari wa pili) na Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Mhe. Catherine Revocat (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Wahe. Majaji wapya 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania pindi walipotembelea Mahakama hiyo leo, Majaji hao waliapishwa na Mhe. Rais mnamo tarehe. 19 mwezi huu. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)
Home
Unlabelled
MAJAJI 10 WAPYA WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WATEMBELEA MAHAKAMA YA BIASHARA JIJINI DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...