Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi yake Said Shaabani mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.kutoka Ziara ya wiki Tatu za nchi za Israil,Cuba na UAE.
Makamu wa PIli wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali IDI akisalimiana na Mtoto wake Mdogo mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akijibu hoja mbalimbali za waandishi wa Habari waliofanya mahojiano nao mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2012

    La haula, mimi nilifikiri nilichelewa kuanzisha familia,kumbe wala!
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2012

    Wewe Dr Bitozi utakuwa ulichelewa tu. Labda ungeuliza huyo ni mke wa ngapi? Wenzetu wanaoa wake wanne. Vilevile kwa utamaduni wao TARAKA ni njenje. Akifanya kosa la kwanza anapewa taraka ya kwanza, la pili taraka ya pili, la tatu Kwa heri ya kutokuonana. Na hapo inakuwa imepatikana 'space' ya kuoa mke mwingine

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2012

    we anon wa pili TARAKA ndiyo nini? ni talaka, humo darasani yaelekea ulikuwa full kilaza maana umerudia hilo neno zaidi ya mara mbili, halafu uache uongo ati talaka nje nje, punguza pumba wewe.
    from canada

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2012

    Wewe mzembe wa Canada vipi? Si umeerewa rakini? Au ukweri umekuuma? Mimi ni mkurya jamani. Natumia sana 'R' badara ya 'l'. Samahani kwa usumbufu huo. Rakini, ni kwa sababu ya eneo ninarotoka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2012

    kaka wacha masihara taraka sio kama ulivyosema eti taraka "ni njenje akifanya kosa la kwanza anapewa taraka ya kwanza, la pili taraka ya pili, la tatu Kwa heri ya kutokuonana"
    Kuna kusameheana na kuelimishana ii muishi kwa amani na upendo. kwani taraka ni katika mambo anayochukia muumba.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2012

    haha haha, nilidhani nimeshangaa mwenyewe huyo mtoto mdogo! au mwandishi kakosea?

    mkurya pore sana kwa rafudhi!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2012

    Huyo siyo mtoto wake huyo ni mjukuu wa mkewe Bi Asha. Msiwe mnaandika tu vitu hamvielewi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...