Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Amos makalla akiongea na profesa Li akiwa nchini China anakohudhuria mkutano wa mawaziri wa utamaduni Afika na China. Mawaziri wa utamaduni toka 46 za Afrika na China ambao ni wenyeji wa mkutano unaofanyika jijini Beijing.
Mhe Amos makalla akihojiwa na waandishi wa habari wa Redio China
Mhe Amos makalla akifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...