Mambo vipi ndugu yangu,
Samahani kwa kuchukua mda kusoma huu ujumbe. Niko Marekani pande za West mji unaitwa Arizona. Naomba kwa msaada wako kwa sababu uko karibu na jamii kufikisha hii habari.
Kuna dada alifariki hapa arizona anaitwa Rehema Kilenga,na hakuna mtu anayemjua kati ya watanzania hapa,niliombwa na landlord wake nitafute ndugu zake ili niwape vitu vyake ambavyo vingi ni nyaraka na picha
Kama utanisaidia kutangaza na kupata mawasiliano nitashukuru kwa hilo ndugu yangu.
Mdau Abdul

POLE SANA KWA MSIBA. NAKUSHAURI UCHUKUE MOJA YA PICHA ZAKE NAKUITUMA KWENYE BLOG HII ILI IWE RAHISI KWA WALIOWAHI KUKUATANAE KUSHIRIKI KIMAMILIFU KATIKA ZOEZI LA KUWATAFUTA NDUGU ZAKE.
ReplyDeleteMDAU- BONDENI SA.
Nashauri mdau angeweka picha ya marehemu hapa katika blog ili iwe rahisi kupata ndugu zake.
ReplyDeleteNafahamu kuna ukoo wa Kilenga uliopo Uchagani na mwingine Upareni. Huyo marehemu alikuwa kabila gani?
ReplyDeletejamani nawauliza ,hivi huko mliko mnajificha ficha nini ??? hata wewe Abdul mbona hukuweka email yako wala simu yako, sasa !!! jamani!! mtaishi underground mpaka lini ??? Obama kasema sasa hivi hamtafukuzwa labda baada ya uchaguzi. Abdul weka simu yako au email tukupigie-sasa huu msaada tutatoa vipi ?? je huyo Landlord wake hakuwa na mkataba unaosema , au kutaja watu wa kuwakontakti inikesi of imejensi ?? au huko kwenu mnapangishana tu under the table ? Zebedayo msema kweli.
ReplyDeletejamani samahani sana kwa kutoweka kila nia ya mawasiliano hapa,nitamuomba kaka michuzi aongeze,kwa ufupi marehemu anaitwa rehema kiyenga,amefariki hapa tangu mwaka jana na kwa mujini wa mairani wa marehemu,hawakuweza mpata ndugu yeyote hadi walipowasiliana na mtu aliyenijua,kama kuna mtu anayemjua marehemu tuwasiliane,e mail yangu ni ABDULHABIMANA@HOTMAIL.COM,PIA KAMA UNAWEZA PIGA SIMU NI 6233340108.
ReplyDeleteWEKA PICHA YAKE
ReplyDeleteDuhh haya malengo ya maisha na kukimbizana na sarafu za dunia balaa,
ReplyDeleteLicha ya Abdul mtoa hii taarifa kuonekana anaji ficha ficha , sema yeye mwenyewe Marehemu alikuwa anaishi maisha ya namna gani bila hata kuwasiliana na nduguze Tanzania?