Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana katika mahafali ya Makada wa CCM kutoka katika vyuo vikuu mkoa wa Iringa, ambapo alikabidhi vyeti kwa wahitimu 230 na kadi za CCM kwa wanachama wapya 148.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2012

    mi nasema aribuni sana na ambao bado wanashabikia chama cha wafanyi'biashara(mabepari) , nawashauri bado wana nafasi maana majuto ni mjukuu ; watafakari sana.

    kidumu chama cha mapinduzi na pongezi kwako comrade nape

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...