Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2012

    kaka michuzi naomba uwaulize wadau hapa ni wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2012

    Hapo ni Kituo cha basi cha 'fire' kaka/dada

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2012

    Neno ni la maana.

    Watu wengi sana wanapoteza muda kufuatilia masuala ya wengine wakati ya kwao hayaangaliwi na hao wanao wafuatilia,

    1.Unakuta mtu anamchunguza na kumfuatilia mwingine kuhusu tabia wakati yeye mfuatiliaji ni mchafu kuliko huyo anayemfuatilia.

    2.Mtu anamchunguza mwingine anapoteza muda sana wakati yeye mchunguzaji ya kwake yanaoza.

    3.Mara zote mfuatiliaji ana gonga mwamba kukuta amekwama baada ya anachofuatilia au kuchunguza hakikuwa.

    Ndio maana kwa busara Mdau anatoa msaada kwa maneno ya kuwa

    ''UKIFUATILIA YA KWANGU UTACHELEWA'' !!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2012

    Aibu yao aibu yake?.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2012

    ilala flats wangu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2012

    hapo ni maeneo ya ilala barabara ya kawawa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2012

    Hapa ni maeneo ya Ilala Bomani karibu na ofisi ya Mkuu wa mkoa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 29, 2012

    hapa ni ilala kituo cha daladala kilichopo mkabala na ofisi za mkuu wa mkoa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 29, 2012

    I dont think if the place where the photo was captured really matters,what matters here is the message, We get you Brother.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 30, 2012

    yombo vituka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...