Home
Unlabelled
NENO LA LEO: ukifuata yangu utachelewa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka michuzi naomba uwaulize wadau hapa ni wapi?
ReplyDeleteHapo ni Kituo cha basi cha 'fire' kaka/dada
ReplyDeletehapo ni kituo cha FIRE
ReplyDeleteNeno ni la maana.
ReplyDeleteWatu wengi sana wanapoteza muda kufuatilia masuala ya wengine wakati ya kwao hayaangaliwi na hao wanao wafuatilia,
1.Unakuta mtu anamchunguza na kumfuatilia mwingine kuhusu tabia wakati yeye mfuatiliaji ni mchafu kuliko huyo anayemfuatilia.
2.Mtu anamchunguza mwingine anapoteza muda sana wakati yeye mchunguzaji ya kwake yanaoza.
3.Mara zote mfuatiliaji ana gonga mwamba kukuta amekwama baada ya anachofuatilia au kuchunguza hakikuwa.
Ndio maana kwa busara Mdau anatoa msaada kwa maneno ya kuwa
''UKIFUATILIA YA KWANGU UTACHELEWA'' !!!
Aibu yao aibu yake?.
ReplyDeleteilala flats wangu
ReplyDeletehapo ni maeneo ya ilala barabara ya kawawa
ReplyDeleteHapa ni maeneo ya Ilala Bomani karibu na ofisi ya Mkuu wa mkoa
ReplyDeletehapa ni ilala kituo cha daladala kilichopo mkabala na ofisi za mkuu wa mkoa
ReplyDeleteI dont think if the place where the photo was captured really matters,what matters here is the message, We get you Brother.
ReplyDeleteyombo vituka
ReplyDelete