Meneja wa Sayansi na Uthibiti wa Nestle Tanzania Akikabizi zawadi kwa watoto wa kituo cha kulelea watoto cha Chakuwama Orphanage Centre kama Sehemu ya Kusheherekea siku ya Maziwa Duniani,Pamoja na watoto hao Pembeni ni Mlezi wa Kituo pamoja na maofisa wakuu wa Biashara Kutoka Kampuni ya Nestle Tanzania.
Mlezi wa kituo cha Kulea watoto yatima cha Tanzania Mitindo House na Mwanamitindo Maarufu Bi Khadija Mwanamboka akiojiwa na waandishi wa habari wakati akipokea zawadi kwa ajili ya kituo cha watoto yatima cha TMH ambapo Kampuni ya Nestle kupitia bidhaa ya NIDO imewawezesha vituo vitatu vya watuto yatima vya Dar es Salaam kusherehekea Siku ya Maziwa Dunia kwa kuwapa Maziwa ya NIDO na Bidhaa ya MILO zenye thamani zaidi ya TSZ 5 Milioni.
Bibi Mlezi wa Kituo cha CHAKUWAMA Bi. Khadija alipokuwa akihojiwa na Muandishi wa Habari wa ITV Bw. Sam Mahele Juu ya Changamoto wanazozipata katika harakati za uendeshaji wa Vituo vya watoto yatima pamoja na Michango ya Taasisi mbalimbali kama Kampuni ya Nestle NIDO ilivyofanya kuwawezesha watoto kuwa na afya bora na kuhamasisha Unywaji wa Maziwa hali Ng’ombe yaliokatika mifumo mbali mbali.
Bidhaa za NIDO, CereVita, MILO kutoka Kampuni ya Kubwa ya Vyakula na Vinywaji Dunia ya Nestle zenye thamani ya TZS 5,548,800 Zilizogawiwa kwa vituo vya Umra, Chakuwama na Tanzania Mitindo house zenye watoto takribani 200 wanaolelewa na vituo hivyo katika kuazimisha siku ya Maziwa Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Juni 1st.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Nestle Tanzania wakionyesha furaha yao baada ya Kujumuika na watoto wa Vituo vya watoto yatima na kuchangia Vyakula kwa ajiri ya kuboresha afya na maisha ya watoto hao kama sehemu ya kurudisha kwa jamii kwa kampuni hiyo wakati wakisheherekea siku ya Maziwa Duniani Juni Mosi ya Kila Mwaka.
mtoto anatakiwa anywe maziwa ya mamayee ambaye anakula kila kitu na kupata vitamins zote wazungu walijifana wastaarabu kwa kuwanywesha chuka sasa wamegundua wameelimika wanawanywesha watoto wao maziwa yao hata ukienda mahospitalini na ma clinic huku majuu utaona matangazo ya kutangaza unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni bore kuliko wa mabati ya makopo
ReplyDeletecha kushangazi sisi watanganyika kila leo tunaona ufahari mambo ya majuu na taka taka zote hata kama hazina faida kwetu ni ustaarabu na kutaka kuipotosha jamii kwa faida zetu binafsi
aisee acheni hizo acheni jamiii maziwa ya mama ni boro sana kuliko ya makopo
Wananchi wenzangu tuelewe kwamba maziwa ya NIDO ni kwa ajili ya watoto zaidi ya Mwaka mmoja. Tuelewe kwamba maziwa ya mama ni Bora zaidi pale ambapo mama Huyu anapata Lishe kamili ikiwa ni pamoja na maziwa ya NIDO! Elimika iLi uelimishe Jamii Yako.
ReplyDelete