Staa wa muziki wa kizazi kipya  Bongo, Naseeb Abdul  ‘Diamond  Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja  wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni  60 keshi. Kwa habari zaidi tembelea Libeneke jipya la:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2012

    milioni 60?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2012

    Hongera mwanangu umetoka ila Mdogomdogo haya mamchuma mwanangu huwa hayana nswalia Mtume yatakiwa discipline kubwa mtu wangu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2012

    HONGERA SANA DOGO UNAJITAHIDI SANA NI MFANO MZURI WA KUIGWA, SIKUFUNDISHI JINSI YA KUISHI ILA DOGO JITAHIDI NUNUA VIWANJA JENGA ZILE NYUMBA ZA BEI RAHISI SELF CONTAIN NDOGONDOGO UNAPANGISHA KWA MASTAA WENZAKO HAYA MAGARI KUWA NA MAWILI YA UKWELI ALAFU TOSHA PIA KUMBUKA USIENDESHE GARI UKIWA UMELEWA NI HATARI KWA MAISHA YAKO
    KIPEPEO

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2012

    Assalama Lako zako Al-Ustaadh Naseeb Abdul !!!

    Diamond Platinumz,

    Kwa kuwa wewe sasa ni nyota nchini na kimataifa na kipato kizuri na cha uhakika unacho uamuzi wako wa mchuma kwa 60M ni sahihi!,

    Inshallah

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2012

    wewe unapenda sana masifa kijana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2012

    dizaini yao hawa mara nyingi wana magari makubwa lakini NYUMBA wanaishi za kupanga...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2012

    Enheee Muungwana Diamond gari Milioni 60 ?

    Biidhin Lahhi, sasa umeshakuwa Mwinyi Uledi kama sio Mwinyi Kidekeo.

    Wallahi njoo Mbagala tukupe wake wawili kwa mpigo !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...