Mabango yaliyoandikwa kiswahili na Bendera ya Tanzania zikipepea kwenye matembezi hayo ya Susan G. Komen yaliyofanyikia Washington, DC, Nchini Marekani Jumamosi June 2, 2012 saa 2. asubuhi.
Team Tanzania ikiongozwa na mnusurika wa Saratani ya matiti Aunty Rehema (wapili toka kushoto)
Watanzania waliojumuka pamoja kwenye matembezi ya Susan G. Komen wakipata picha ya pamoja kwenye picha toka kushoto ni Aunty Asha, Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Asia Dachi na Salma Londa.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Thumbs up, Thumbs up Thumbs up for the good deed.
ReplyDeleteVery good, lakini mbona mumekosea spelling ...... ni Saratani na siyo Sarakani
ReplyDeleteHaya Aunt Sia umependeza,we real miss u
ReplyDeletendugu zangu mliopo huko Marekani na kwingineko hali ni mbaya kwa kinamama hapa Tanzania hali ya tiba sio nzuri na kina mama wengi wanakufa kwa kukosa tiba ya haraka wakati Ocean Road Cancer Institute imezidiwa na madaktari ni wachache vifaa ni vibovu na ile awareness tu hasa vijijinihakuna tusaidieni
ReplyDeleteThis is real good, huku UK Watz wamebaki maneno tu tena hawapendani kabisa, Igeni mfano huu na achani ubaguzi tuwe sawa walio na vitabu vyekundu na kijani
ReplyDelete